Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,381
....jichanganye mkubwa...
socializing inasaidi sana mkubwa... hudhuria minuso kadhaa i.e send offs, harusi, office parties, family day out, ...pia jichanganye kwenye misiba, na vikao vya harusi nk...kule unakutana na mabinti kwenye 'natural-habitat!'...
hii maisha ya 8am-5pm kwa ofisi, 8pm-11pm internet, sio mtindo kabisa aisee,...
Mwenzetu wewe ulishakumbukwa na wangapi hadi sasa baada ya ndoa yako ya miaka kadhaa?Lol! Nimeingia choo cha kike! Lakini ukweli unabaki palepale, Bikira Maria hana mfanowe. Usisahau nlishasemaga mke wangu sikumkuta na bikira. Na si umeshasikia wanawake huwa hawawasahau wanaume waliowabikiri? Need I say more? Ni kukaza moyo na kujifanya jinga ili mambo yaende poa.