Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Hivi hiki si ndio kpnd kizuri cha kupata kampani...?
Na wewe si uende kwenu ukale sikukuuu na ndugu?
Au ndio hutaki kwenda?
Maana hamna sehem umetaja km kuna kitu kinakulazimisha kubaki mwenyewe..
Kuna familia mbili pasipo kujali uzima au uhai...
Familia ya wazazi wako wewe ukiwa km mtoto na
Familia yako, wewe ukiwa km baba..
Kote huku waweza pata kampani uliyoikosaa
Km wazazi kwa bahati mbaya hawapo ndugu wengne wa karbu jee?
Mwingne hata km wazazi hawapo....
Ile kwenda tuu nyumbn kwao ni fahari na kamapani toshaaa....
Nenda kwenu mkuu....
Mkesha wa krismass utachapwa viboko humo ndani na usiemjuaa...
Hahahaa jokin
Ila nenda home mzee baba nyumbn n nyumbn
Basi hamna namnaa...Kasema yy kabaki kwasabbu y kazi mzee baba
Ooooh sawaaBasi hamna namnaa...
Kazi nayo muhmu...
Maana waweza uwe na campany ila hela hamna...
Mwishowe wanaokupa kampan unawaona wachawiii
Lazima wadau washushe updates mpya baada ya sikukuuChunga sana wazee wa kula tunda kimasihara huko mkeo alipo
It seems umeshapitia situation kama hii in ur life mkuu. Asante kwa ushauri.Learn to enjoy your own company , get time to explore , do things you love n most importnt one be happy
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukweli mkuu. Hakuna mwanume bila mwanamke.Hilo la upweke hata M/Mungu alilijua kabla binadamu kuumbwa, akalifanyia kazi.
Kampani bora unayoweza kuipata na upweke kupotea ni mwanamke tu.
Vyakula na pombe havikusaidii kuondoka kwenye mkwamo huo.
Ninaposema 'mwanamke' nime generalise sikusihi ama kukushauri ubadili tabia, kuna njia nyingi za mahusiano hata 'penpal'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahh.. asante sana kwa ushauri mkuuHivi hiki si ndio kpnd kizuri cha kupata kampani...?
Na wewe si uende kwenu ukale sikukuuu na ndugu?
Au ndio hutaki kwenda?
Maana hamna sehem umetaja km kuna kitu kinakulazimisha kubaki mwenyewe..
Kuna familia mbili pasipo kujali uzima au uhai...
Familia ya wazazi wako wewe ukiwa km mtoto na
Familia yako, wewe ukiwa km baba..
Kote huku waweza pata kampani uliyoikosaa
Km wazazi kwa bahati mbaya hawapo ndugu wengne wa karbu jee?
Mwingne hata km wazazi hawapo....
Ile kwenda tuu nyumbn kwao ni fahari na kamapani toshaaa....
Nenda kwenu mkuu....
Mkesha wa krismass utachapwa viboko humo ndani na usiemjuaa...
Hahahaa jokin
Ila nenda home mzee baba nyumbn n nyumbn
Ishara zipi hizo mkuu..?.Hizo ni ishara jifunze kutambua ishara. Mnapokuwa wawili ndani ishara nyingi unazipuuza kwa sababu ya company ila ukiwa mwenyewe ishara zinapata muda wa kuchukua antention kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
At least wewe unaelewa nisemacho maana yameshakukuta.Me naishi hivyo mwaka wa 5 huu.Nipo alone getto.Sijawahi oa na sina demu permanently. Juzi nikazidiwa na upweke mpaka nikahisi kuumwa hoiii.Nimeenda hospital sina ugonjwa wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni part ya maisha inabid tujifunze kujitegemea ss wenyw . most of the time npo mwnyw so nmezoeaIt seems umeshapitia situation kama hii in ur life mkuu. Asante kwa ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks for sharing.umenipa moyo.Ni part ya maisha inabid tujifunze kujitegemea ss wenyw . most of the time npo mwnyw so nmezoea
Sent using Jamii Forums mobile app