Marahaba sana, waionaje khaliShikamoooo
Dah....nitakulipa bana...mbona yanazungumzikaNilipe deni langu kwanza



Unilipe sasa hiviDah....nitakulipa bana...mbona yanazungumzika![]()
bwana bwana si nimeingia kariakoo shimoni kusaka madude mara paaaah! nikakatisha mitaa miwili mitatu kuangalia nyuma sizioni njia.
hapa naogopa kuwauliza watu maana nimebeba mihela naogopa kukabwa.
Niko nyinza shinzaMarahaba sana, waionaje khali
HayaNiko nyinza shinza
NashkruHaya
Dah....Unilipe sasa hivi
