Nipo kariakoo shimoni natokaje wazee

Nipo kariakoo shimoni natokaje wazee

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,620
bwana bwana si nimeingia kariakoo shimoni kusaka madude mara paaaah! nikakatisha mitaa miwili mitatu kuangalia nyuma sizioni njia.

hapa naogopa kuwauliza watu maana nimebeba mihela naogopa kukabwa.
 
bwana bwana si nimeingia kariakoo shimoni kusaka madude mara paaaah! nikakatisha mitaa miwili mitatu kuangalia nyuma sizioni njia.

hapa naogopa kuwauliza watu maana nimebeba mihela naogopa kukabwa.

Njia rahisi ya kutoka bila ya kumuuliza mtu ni kuwa; angalia mtu yeyote aliyemaliza kununua bidhaaa mfate kimya kimya. Hapo utakuwa umewin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom