Nipo Dar, Nahitaji mbegu nzuri ya sungura

nicole0216

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
6
Reaction score
3
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mbegu ya sungura kwaajili ya kufuga mimi binafsi. Naomba kufahamu na bei ikoje???
 
Unaitaji wa aina gani?
1) kienyeji
2) kisasa
3) Chotara
Karibu sana
Nahitaji chotara na kienyeji ili niendelee kufanya cross breeding mwenyewe. Lakini pia naomba na darasa zaidi la ufugaji wa hao viumbe maana ndio nataka nianze.
 
Hivi sungura versus kuku......mmmhhh trying to weight out BCA..... anyway good to go!
 
kuna hoteli flan dsm nyama ya sungura inauzwa $35 yan kama efu70 afu sungura tope tu wa kama kilo2
 
mkuu mimi nahitaji wa kisasa 0714434190
Sungura wa kisasa wanauzwa kwa 75000 kwa mmoja na wanapatikana kwa order .kuna aina 2 za sungura amabazo zinapatikana hapa Tanzania
1.Calfonia
2.Newzaland
Zinapatokana kwa order iliuone faida ya kufuga nilazima uwe na sungura wa kutosha .sina hakika na hali ya hewa ya Dar kama inaweza kufanya vizuri katika hizi aina mbili za sungura ila kwa Nairobi wamefanya vizuri
 
Mkuu katika izo aina 2 ulizotaja aina ipi ndo wanafaa zaidi kwa biashara ya nyama.?
 
Wanakua vizuri kabisa cha msingi kakikisha wanapata cha kula na maji kutosha, pa1 na kuwaweka sehemu inayofanyiwa usafi vzuri.
asante sana mkuu, naomba namba zako ili tufanye mawsiliano...
 
Sungura wa kisasa wanauzwa kwa 75000 kwa mmoja na wanapatikana kwa order .kuna aina 2 za sungura amabazo zinapatikana hapa Tanzania
1.Calfonia
2.Newzaland
Zinapatokana kwa order iliuone faida ya kufuga nilazima uwe na sungura wa kutosha .sina hakika na hali ya hewa ya Dar kama inaweza kufanya vizuri katika hizi aina mbili za sungura ila kwa Nairobi wamefanya vizuri
Aaaah sawa mkuu asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom