Nipo bukheri wa afya

Wenye makosa ni hao uliowaaga.Kwa nini hawajatuambia ?Au ndio uliwakabidhi kiringe?
 
Mkuu karibu Sanaa asee. .je vp umekuja na dawa ya kuzuia kutumbuliwa kwa sisi wa serikalini wenye vyeti vya magumashi?
 
Binafsi nimefurahishwa sana na wanajamii kwa upendo wao mkubwa kwa Mshana.

ni jambo la maana sana na inaonyesha ni jinsi gani ulimisika Mshana Jr.

Big up mkuu kwa kuteka nyoyo za watu 90% humu.
 
nlijua ni majukumu tu na punde ungerejea heshma kwako brother mshana jr:
 

Pole sana kwa kusingiziwa yamekukuta ya hivi!
mambo kama haya ni ya kisayansi sana wasemehe bure
 

Pole sana kwa kusingiziwa yamekukuta ya hivi!
mambo kama haya ni ya kisayansi sana wasemehe bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji102] [emoji134]
 
Enheee, sasa hv hapa nmetoka kumjibu mtu kwamba upo safarini na nakumbuka niah ulimwambia kuwa unaenda SA, sasa kuna maswali machache hapa, maana kule wanafungua chuo cha witch craft na hii safari yako naunganisha dot hapa, waweza nipa ufafanuzi? Tukiliacha hilo nilikutag kule kwa yule jamaa aliyeanguka na ungo, ufafanuzi wako ni muhimu kule, yaani inakuwaje mpaka inatokea vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…