princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Kwahiyo zinatembea na USB?Achana na Guangzhou kuna mji unaitwa Hangzhou huko magari, pikipiki mpaka baiskeli zote ni za umeme. Yaan usafi na kijani kibichi tu.
ukija nileteepo kamojapo
Kwahiyo zinatembea na USB?Achana na Guangzhou kuna mji unaitwa Hangzhou huko magari, pikipiki mpaka baiskeli zote ni za umeme. Yaan usafi na kijani kibichi tu.
Mpendwa si unajua kishundu ndo HabariMpendwa hauishiwi vituko..Teh teh