Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Wakuu Baada ya kujifungia miezi mitatu nikichambua kikosi heavyweight Cha RS berkane na kikosi hafifu Cha Simba El de makolo nimekuja ku draw conclusion Kwamba
Mvua ya magoli mengi ....itashuka Kwa Simba since berkane yupo daraja la juu Kidgo kuliko Simba .......daraja la berkane ilitakuwa ikutane na Yanga .....hapa mizani ingebalance
NB: Ni mjinga tu ataamini Kwamba Simba ( weak team) leo itapata matokeo Kwa berkane ( the giant)
SIMBA IKIPATA POINT YEYOTE LEO ..... NIPIGWE BAN SIKU 2.....maana ntakuwa nimeaibisha tasnia ya uchambuzi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app