Abdallah kimwaga
Member
- Dec 16, 2012
- 49
- 8
Mnunulie kahawa kila akirudi home inaongeza hamu ya kuDo! :-source Mtambuzi
mfanyie massage ili kuondoa uchovu na maumivu kwenye mwili wake, utaona matokeo mazuri.
Mnunulie kahawa kila akirudi home inaongeza hamu ya kuDo! :-source Mtambuzi
mfanyie massage ili kuondoa uchovu na maumivu kwenye mwili wake, utaona matokeo mazuri.
unajua hamu inaisha kwa nini?
Mwenzako anawapima viuno wanaume anawakumbatia kila siku na kuwapima urefu wa zipu lol
Hii ndio tabu haswa pale UNYUMBA unapofanywa kama nayo ni kazi badala ya kiburudisho
imagine!
yani wakati watu ni pyumziko wengine wanahis kama wanaambiwa wakalime mwee!
Yaani mtani mie ningepata sampuli ya namna hii, mbona hiyo habari ya cherehani ingeshindikana...khaaa!
Mmm jamani inawezekana huyo mwenzio anatatizo,mambo ya sita kwa sita mbona yanatoa uchovu mwilini? ebu mwenzangu inama ufikiri kidogo,isijekua kwako kachoka kwa wenzio anafanya bila hajizi,au michezo yako haimridhishi...ebu kaa nae chini mjadili miezi mi3 wewe sio mfungwa ivo,tena Hongera sana manake angekua kasafiri ntaelewa lakini mnalala kitanda kimoja:A S 39: