Chakuchambuka
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 342
- 63
Acha kuwa naakil fup ka kipapatio tupa kule kama mashine nyingine.....
Unaomba ushauri wa nini tena wakati umesema "haijalish hata tuwe folen kama NMB, nitavumilia sababu nampenda sana".
hata kama ni kupenda mwenzenu nimepitiliza, nampenda hajal hisia zangu nampigia cm hapokei wakat mwingine anajib im tired nataka kulala, nimeamua kukaa kimya labda atanitafuta kimya wiki sasa hajanitafuta zaidi ya leo kanisms hi! nifanyeje nimejarbu kujizuia nahisi nateseka sana juu yake nampenda haijalish hata tuwe folen kama NMB, nitavumilia sababu nampenda sana. ushaul jmn
Haya ndio matatizo ya kupenda pale usipopendwa inakuwa karaha na majuto tele kila siku iendayo kwa Mungu. Mie kwa maoni yangu tafakari kwa kina haya mateso utayavumilia mpaka lini!? Ni vizuri ukajibu maswali haya na kasha kuchukua maamuzi muafaka. Je, yanaweza kukusababishia matatizo ya kiafya? Je, huwezi kumpata mwingine atayakupenda na kukuthamini kuliko huyu anayekupa mateso ya moyo!? Kila la heri.
CC: FP, snowhite, Arushaone, sakapal
heee jamani BAK WHAAAAAAAAAAAAAAAAAOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
upo?
mbn umepotea hiv rafiki?
mimi nimekumithi mpk macho yanawasha kha!
bora umekuja nikushtakie! FP kanihujumu kwa Kaizer jus for chupa mbili za dompo imagine!
waliyonitendea wakati haupo sina hamu!
yani huwezi amini!:shock:
Bora wewe umekuwa muwaz nakuelezea hisia zako, wengi hujifanya wasiri then wanaumbuliwa na umauti
hata kama ni kupenda mwenzenu nimepitiliza, nampenda hajal hisia zangu nampigia cm hapokei wakat mwingine anajib im tired nataka kulala, nimeamua kukaa kimya labda atanitafuta kimya wiki sasa hajanitafuta zaidi ya leo kanisms hi! nifanyeje nimejarbu kujizuia nahisi nateseka sana juu yake nampenda haijalish hata tuwe folen kama NMB, nitavumilia sababu nampenda sana. ushaul jmn
ha haaa, penda upendwapo siyo?Haya ndio matatizo ya kupenda pale usipopendwa inakuwa karaha na majuto tele kila siku iendayo kwa Mungu. Mie kwa maoni yangu tafakari kwa kina haya mateso utayavumilia mpaka lini!? Ni vizuri ukajibu maswali haya na kasha kuchukua maamuzi muafaka. Je, yanaweza kukusababishia matatizo ya kiafya? Je, huwezi kumpata mwingine atayakupenda na kukuthamini kuliko huyu anayekupa mateso ya moyo!? Kila la heri.
CC: @FP, snowhite, Arushaone, sakapal