Nipeni wazo

Nipeni wazo

Edmlh45

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Kuna mdada nampenda xana ila yeye anampenda sana mshikaji wangu eti nifanye nn? naomben maoni
 
Kuna mdada nampenda xana ila yeye anampenda sana mshikaji wangu eti nifanye nn? naomben maoni

There's only one thing to do beste, "prove" kama unampenda, lakini sio guarantee kama utampata, si unajua huwa hawasomeki
 
mpende mshikaji wako....then hapo mtakua na common interest...so na yeye atakupenda wewe
 
sure mademu wec hawa kweli hawa xomeki much love kwako ntafanya hvo!
 
itachukua mda xana bext japo mshkaji anajua kua namkubali xana demu lakn ndo hvo demu anamkubali jamaa!
 
Back
Top Bottom