Habari zenu wake kwa waume ktk hili jukwaa.
Nina mpango wa ku purchase gari aina ya ISUZU wizard,Naomba uzoefu wenu juu ya gari aina hii NB: uzuri wake na matatizo yake, pia mnaweza kunipa alternatives zingine ili niweze kuspend pesa yangu ktk gari muafaka.
Angalizo:
engine isizidi 3000cc
good fuel consumption