Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee[emoji120]
Aende tu akam...tie mara mbili jpili kama mteja j3 kama mke hakuna namna....Mpokee tuu jpili na j3 pia nenda kampokee!!ila mkeo ni maarage mabichi.nikwambie kitu...wanawake wengi au asilimia kubwa sasa hivi ndio wako hivyo.hawajui kukataaa
Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee[emoji120]
Sasa utaua nini au nani wakati yote yanakuhusu wewe. Nenda jpili usije ukamfanya akalala nje. Akikasirika ajiulize kwa nini hana uaminifu na ukweli.Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.
Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.
Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?
Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee[emoji120]
Kiben10 .
Usipoenda JPL, utakufa wewe.
Ukienda JPL na moyo mdogo bado Utakufa wewe maana kumpenda unampenda na kumuacha huwezi[emoji23]
Kwenye Afyaz kuna wakati mf.. Anakuja mgonjwa wa kansa labda yupo stage 4, unajua kabisa huyu Nisipomuanzishia matibabu Atakufa tu.. Na hata nikimuanzishia matibabu Bado Atakufa tu.
Unachokifanya kama Mtalaamu wa Afya.. Ni kumuanzishia Matibabu tu, ili mgonjwa kimoyomoyo aendelee kukuombea kwa Mungu tu, na kumsaidia Asife kwa Mateso !!.."Tumejitaidi sana lkn Mbingu zimempenda zaidi[emoji22]"
Kwa Case kama yako, Usipoenda, Ukienda bado hayaondoi ukweli kua HAUNA MKE, BALI UNA MKE WA WATU...
KIPI BORA??? BORA UENDE TU JOMBAAA..UKIWA NA MOYO MUGUM UTAKUA KTK MAZINGIRA MAZURI .
H/W.... Tafakari sana ,kaa chin utafakari ni wapi ulikosea.. TATIZO LIKO KWAKO...
Inawezekana kabisa kabisa kila kitu unakifanya kwa 100%, ila KOSA LAKO, ULIKOSEA KUCHAGUA MTU ANAYEENDANA NAWEWE.