We acha tu. Kuna malaika anakoleza kuni ile mbayaAlisema akifa anatamani akaongoze malaika huko juu mbinguni
Nipeni updates jee sahivi ashakabidhiwa kazi ya kuongoza malaika?
Naombeni updates wakuu
Ndugu ubishi wa MUNGU yupo au hayupo umekoma rasmi,Alisema akifa anatamani akaongoze malaika huko juu mbinguni
Nipeni updates jee sahivi ashakabidhiwa kazi ya kuongoza malaika?
Naombeni updates wakuu
Mbinguni hawavai miwani wala nguo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1762724
Taratibu nchwa wanajimegea mnofuAlisema akifa anatamani akaongoze malaika huko juu mbinguni
Nipeni updates jee sahivi ashakabidhiwa kazi ya kuongoza malaika?
Naombeni updates wakuu
Mkuu hata wewe na Mimi siku yetu itafika.Taratibu nchwa wanajimegea mnofu
Duuh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1762724
Anakoleza kwa ajili ya naniWe acha tu. Kuna malaika anakoleza kuni ile mbaya
Alisema akifa anatamani akaongoze malaika huko juu mbinguni
Nipeni updates jee sahivi ashakabidhiwa kazi ya kuongoza malaika?
Naombeni updates wakuu
Hivi lini utaacha upuuzi wako?Alisema akifa anatamani akaongoze malaika huko juu mbinguni
Nipeni updates jee sahivi ashakabidhiwa kazi ya kuongoza malaika?
Naombeni updates wakuu
HahahaKwani malaika wenyewe wanasemaje?