K kanewi JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 298 Reaction score 204 Jan 5, 2013 #1 Nifanyeje ili nitakapo taka kuandika kwenye microsoft word page iwe imelala na badala ya kuandika kwa wima niandike kwa ulalo.,
Nifanyeje ili nitakapo taka kuandika kwenye microsoft word page iwe imelala na badala ya kuandika kwa wima niandike kwa ulalo.,
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,039 Reaction score 3,927 Jan 5, 2013 #2 Kwenye page set up chagua landscape badala ya potrait.