Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 815
- 1,644
- Thread starter
- #21
Kudadeki mi mwanaume mbona mnadadais kwan kunan?Eti Mzigua_255 wewe ni dume au jike?
Kudadeki mi mwanaume mbona mnadadais kwan kunan?Eti Mzigua_255 wewe ni dume au jike?
Me nimesema we dume hata sijasema wa kikeWapi nimewah kujifanya ashura?
OKMe nimesema we dume hata sijasema wa kike
Daah tumezoea hii ID ni ya kikeKudadeki mi mwanaume mbona mnadadais kwan kunan?
/ The Icebreaker HAPA NAZUNGUMZIA MAPENZ KAT YA KE NA ME NA SIO UNAFK NIPO SERIUS MKUU ila upo vizur kwenye kitengo cha var checkHao waliokusaliti kwanini hukuishi nao kwa mbinu ambayo wewe mwenyewe ndio ulitupa hapa?
JF VAR CHECK
Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango yako n.k kumbe anataka tu kukuharibia au kukutangaza umbea so! mnafik ish nae kinafiki
Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?
- Mzigua_255
- Replies: 75
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Unafiki pia unaweza kutumika huko huko kwenye mapenzi./ The Icebreaker HAPA NAZUNGUMZIA MAPENZ KAT YA KE NA ME NA SIO UNAFK NIPO SERIUS MKUU ila upo vizur kwenye kitengo cha var check