Habari jf. Nimekuwa ktk mahusiano na mwanamke mmoja wa kiwanji kwa takribani mwaka sasa ninampenda sana, na nipo mbioni kumuoa lakini nina wasiwasi kama ndoa yetu itadumu maana anatabia ya kusikiliza na kuamini kila anachoambiwa iwe na ndugu au rafiki.
Lakini pia anaonekana na tabia ya kupenda kumcontrol mwanaume maana anaamini yeye yupo sahihi kila wakati.
Lakini pia ni mtu ambaye hana ukarimu kwa wa kitu ambacho kinaonesha hataweza kuishi na ndugu zangu. Hasa kwa sababu kwetu kitu uchoyo hakuna kabisa.
Naombeni mnipe maoni yenu katika hayo na ufahamu wenu wa kabila la wawanji ni watu wa aina gani!
ye hana zuri hata moja..........
akijibu hili niambie

Hili ndo tatizo la waomba ushauri wa hapa yaani ameeleza mabay yote kama hana hata zuri lilimvutia yuko naye wa nini mwaka mzima?ye hana zuri hata moja..........
Habari jf. Nimekuwa ktk mahusiano na mwanamke mmoja wa kiwanji kwa takribani mwaka sasa ninampenda sana, na nipo mbioni kumuoa lakini nina wasiwasi kama ndoa yetu itadumu maana anatabia ya kusikiliza na kuamini kila anachoambiwa iwe na ndugu au rafiki.
Lakini pia anaonekana na tabia ya kupenda kumcontrol mwanaume maana anaamini yeye yupo sahihi kila wakati.
Lakini pia ni mtu ambaye hana ukarimu kwa wa kitu ambacho kinaonesha hataweza kuishi na ndugu zangu. Hasa kwa sababu kwetu kitu uchoyo hakuna kabisa.
Naombeni mnipe maoni yenu katika hayo na ufahamu wenu wa kabila la wawanji ni watu wa aina gani!
I mean wakiwa hata wanazungumzia kitu flani katika maisha yao anachukulia kama icho kitu lazima kiwe katika maisha yetu...Ina maana hao ndugu na rafiki zako unataka kutuambia wanamdanganya? Hao hao wanaomletea taarifa zako hana ukarimu kwao?
Hili ndo tatizo la waomba ushauri wa hapa yaani ameeleza mabay yote kama hana hata zuri lilimvutia yuko naye wa nini mwaka mzima?
ye hana zuri hata moja..........
akijibu hili niambie
nitakushtua besi angu
Hapa tatzo liko kwako na siyo kwake ww ndo unatakiwa kujua unahitaj mke wa aina gani katika maisha yako kama unaona kwa tabia alizonazo haufai unatakiwa kumuacha mapema kabla hamjafika mbali ili na yeye asije kuumia yawezekana anayafanya hayo kwa makusudi au bila kujua au hiyo hizo tabia karithi katika ukoo wao chambua vizuri watu humu watakuambia hafai lakini wewe ndo unajua uzuri wake uko wapi hayo yote yako juu yako ndugu!Gud... anayo mazuri yake kama matumizi mazuri ya pesa, tabia na usafi wa kila kitu.
Kwanini mnajaribu kutetea hata kama ni baya? Mtoa mada sio kila mwanamke anafaa kua mke, kwa maelezo yako unaonekana unampenda ila kama hafai kua mke usifanye kosa.
Gud... anayo mazuri yake kama matumizi mazuri ya pesa, tabia na usafi wa kila kitu.