Nipeni mawazo kwa site hii (forum)

Nipeni mawazo kwa site hii (forum)

Mgawanyo haujakaa vema punguza migawanyo uanze na vichache.
Kama chifu alivyosema, uwe na experts, sasa migawanyo yote hiyo una uwezo wa kuihudumia?
----
Hodi!
 
kazi nzuri mkuu ila mi nashauri ufanye UserAgent Cloaking ili page iload automatically badala ya mtumiaji kuchagua manually.
 
Mambo vipi wakubwa, hope michakato inaendelea kama kawaida.

Nimetengeneza forum site kwa ajili ya mobile phones discussions, na matarajio yangu ni kuwa na audience sehem mbali mbali duniani.

Sasa kwa stage niliyoifikisha nimeona si vibaya nikiwashirikisha wadau wangu wa JF tech and gadgets before sijai launch rasmi na kuanza kuipa promo.

Sasa naomba wakuu mnipe input ni wapi pa kurekebisha, wapi kwa kuongeza, na jinsi ya kuifanya iwe forum bora na ifanye vizuri kwenye area hiyo, kwa experience ya JamiiForums, ni matarajio yangu kwamba nitapata mawazo mengi ya kujenga na kuiboresha.

Wakuu Chamoto na wadau wote wa Jukwaa hili na wadau wa JF kama Invisible et al nitafurahi kawa mtanipa neno lolote either hapa kwenye post hii au hata kwa PM.

Nitafurahi kusikia kutoka kwenu.

site yenyewe ni www.mobilephonesforum.com

Hii forum yako itakua na tofauti gani na GSMArena.com - GSM phone reviews, news, opinions, votes, manuals and more...
 
Back
Top Bottom