Kama namna gani vipi aende tu kwenye adult emporium akanunue edible underwear....ila amwulize huyo jamaa yake anapenda ladha gani.
Kwa mfano mimi napenda citrus...wengine wanapenda chocolate....wengine berries (strawberries, blackberries, raspberries, cherries, etc.)
Halafu kama jamaa yupo into role plays basi amwulize anapenda roles zipi. Ku spice mambo mi ningemshauri yeye huyu mchuchu a-play role ya streetwalker halafu jamaa a-play role ya john.
Halafu walau ajue ku-twerk kidogo....na kwa kuanzia waanze na wimbo wa 'drunk in love'....kwa sauti ndogo huku wakiwa wamewasha blacklight.
Na kabla hawajaanza mambo yenyewe wapige wimbo wa 'birthday sex' ulioimbwa na Jeremih