Nipeni dawa ya kuacha kupenda

Napenda muziki yaani
kucheza na kusikiliza, napenda kuogelea na mazoezi ya viungo kila jioni,
napenda kuangalia tv/movie.

anzia hapa hapa,tumia muda wako wa ziada kwenye interest hizo upunguze muda ambao unautumia either kumuwaza au kuwa na huyo mpenzio,kusoma hupendi?
 
anzia hapa hapa,tumia muda wako wa ziada kwenye interest hizo upunguze muda ambao unautumia either kumuwaza au kuwa na huyo mpenzio,kusoma hupendi?

sijui hata nikwambie nini maana hata hizo interest zangu zinakuwa kama kero kwake. Nikienda mazoezi tu nikirudi ugonvi. Ukweli ni kwamba nimechoka tatizo namuogopa ni mkali mno na pia nampenda.
 
sijui hata nikwambie
nini maana hata hizo interest zangu zinakuwa kama kero kwake. Nikienda
mazoezi tu nikirudi ugonvi. Ukweli ni kwamba nimechoka tatizo namuogopa
ni mkali mno na pia nampenda.

that's y mapenzi yanakuwa machungu kwako coz he is ur ol in ol,mnaishi pamoja?kwanini umuogope mpezio?
 
Kama kweli umeamua kuachana nae futa no yake ya simu kwenye simu yako, then jitahidi uisahau na kichwani yaani jiweke busy sana, akikupigia simu pokea wakati mwingine usipokee akikuuliza kwanini hujapokea mwambie nilikuwa busy au sijaisikia, usithubutu kumpigia simu wala kujibu sms yoyote, akikuuliza mwambie niko busy, akikusumbua sana kuhusu sms mjibu asante, ndio au hapana usitoe maelezo yoyote. hapo kama anaakili atakuacha yeye mwenyewe, ukiwa huna kazi ya kufanya, kuwa busy na kitu ambacho unakipenda kama ni kuangalia movie, kusikiliza mziki, kwenda gmy
 
Back
Top Bottom