Nipeleke Nipelekee...

Nipeleke Nipelekee...

Kasinde, huyo dada hapo ni wewe? I'm in love with those boobs..they kill me softly..!

Hhhhehehehehehheee unanifanya nione aibu sasa, that's dadii and Kasie enjoying their swimming
 
Wewe Kasie si juzi kati umenijibu hapa kuwa hataki wanaume wanakuzingua, unataka life alone!! Au nilikuelewa vibaya!? Au genye zimezidi hivyo umeamua kubadili msimamo. Hizi gia za angani itabidi Mbowe afute kauli.
 
Karudie kusoma nilichokwambia.......... kisha uje nikufafanulie tena....
 
Duh ama kweli ukubwa dawa anaweza kuongea jambo akaelewa mtu mzima mwenzake mtoto au kijana akaambulia patupu!
 
Hahahahahahahaaaa ukubwani jalala pia...... una raha na karaha zake .... Ngoma inogileee
 
Back
Top Bottom