Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Kasie threads zako zote za kichokozichokozi!
Kasinde huyo daddii wako mbona ni wa kwangu pia? Teh teh
Niseme nini tena..... sina cha kusema..... bali nafurahia maisha..... raha ndani ya roho. ....
Hahahahahaaa ungekuja tuu bila kusema hapa..... wapenda ubuyu watatufata kutuchungulia tunasemeshana nini kisha waongezee pili pili na chumvi wauze ubuyu bei chee. ..
Halafu dadii anakusoma ujue........
Kuna uchokozi mwingine mzuri so endelea kuchokoza but ujue unatuweka pabaya wengi kwa uchokozi wako.Hahahahahahahaa kwelii hata sijagundua nahisi inatokea tuu..... au uchokozi ni moja ya hulka yangu. .... heheheh
Hapana endelea una kipaji cha uchokozi tutastahmil ni kama pilipili kuwasha kwake ndo burdan yenyewe.Heheheheheee ntajitahidi kupunguza uchokozi nisisababishe watu kukaa pabaya hehehehe
Teh teh kizuri kula na mwenzio shosti!Weeeh ishia hapo hapoo. .......
Zile crush nyingine zoote za Kasie nakuruhusu uendelee ziwe zako ila huyu dadii ukae mbali aiseeh...... ooohooo. ...... hehehehhe
Wengine wooote nta share ila huyu heeee hapana aiseeh
He is dadii and he is unique. ..... He spoil me badly and I love that......
Teh teh kizuri kula na mwenzio shosti!
Au sivyo hivyo?mtu anapyenga na kupyenga lakini achali haiachi.Hahahahahhahahahahhhahhaaaaaaaaa weeweee eti kama utamu wa pili pili kuwasha hehehehe haya bana.
Thanks rafiki.
Au sivyo hivyo?mtu anapyenga na kupyenga lakini achali haiachi.
So raha ya pilipili kuwasha?una kipaji cha kuamsha hisia zilizofichikana.Hahahahahahahaaaa mzee ruksa alisema utamu ule umekaa mahala pabaya..... hehehehhe
Na baba wa Taifa alisema ukishaanza kula nyama ya binadamu au ukishaionja tuu kuiacha huwezi utaendelea kuila na kuila tuu heheheh