Nipeleke Nipelekee...

Nipeleke Nipelekee...

Una uzoefu nao eeeh.... hehehehhee ila pamoja na kupata uzoefu kwao, bado hujagundua kuwa hawatafuti phd ya kitandani..... raha kwao ndo kila kitu ndomaana wanazidi kubongeka.

Pia kizuri hakikosi kasoro...... utamu unautaka ila tipwa hutaki...
Kweli raha kwao ni kila kitu,ukiweza kumkuna vzuri awezi kuchepuka.
 
Achana na maandishi wee soma picha tuu maana hapo nimeandika kwa lugha ya Taifa bado lugha gongana, ile lugha iliyokuja na meli itakuwa patashika. ......
Usipozielewa picha basi tena...... 🙂🙂
mama kusoma sijui hata picha sioni??hahahaa
 
Kweli raha kwao ni kila kitu,ukiweza kumkuna vzuri awezi kuchepuka.

Hapo utakuwa umewamaliza.... halafu hawana haraka wala papara..... ni mwendo wa kobe kama si kinyonga heheheh
 
Eewaaah kumbe ulikuwepo siku ile eeehh

Yaani tukimaliza kuisikilizia bakulutu ni waaah .... waah ... waaah hahahahahah
kila nikiona avatar (kofia kama mama rwakatare) nakumbuka ile thread yako
 
Back
Top Bottom