Nipe tasfiri tano kwa hii picha

Nipe tasfiri tano kwa hii picha

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,409
Reaction score
1,811
1470058198273.jpg
 
Picha ya kwanza ni gwaride wakati wakienda vitani wakiwa wazima wa afya na wenye nguvu, picha ya pili wakirudi vitani wengine ni vilema na wengine ni wafu kwenye majeneza!
Ok,angalia vizuri..baada ya kurudi vitani nini tena kimetokea kati ya picha ya kwanza na ya pili.
 
Picha ya kwanza ni gwaride wakati wakienda vitani wakiwa wazima wa afya na wenye nguvu, picha ya pili wakirudi vitani wengine ni vilema na wengine ni wafu kwenye majeneza!
Dah aisee wewe dada ni hatari sana,una upeo mkubwa ki ukweli.
 
Mambo ya iraq hayo,mpaka leo marekani amegoma kupeleka askari wa miguu huko
 
waliopandishwa cheo sio walioenda vitani
Nao walikuwa vitani..Si unajua vita ni mipango kuna wanaweka mikakati ambao hukaa ofisini kuumiza vichwa na wanaopambana.Sasa nafikiri wanafanya nchi iweze kushinda ndo aina hiyo ya watu wa kukaa ofisini.
 
kuu ni mamlaka/kutawala
pili kutawaliwa
tatu waliokwenye madaraka ndio hufaidi mema ya nchi
nne,ni kinyume cha tatu.
tano sijui...!
 
Hao wakuu naona wamepewa vyeo kabisa sasa hao vilema inakuwaje au ndo kama wanavyosema "soldiers only seek one thing,that is death of honour" yaani "wanajeshi hutafuta kitu kimoja tu,nacho ni kifo cha heshima" yafaa nini kufa kwa heshima ili hali dunia inapeta. Sometimes life is crazy
 
Picha ya kwanza ni gwaride wakati wakienda vitani wakiwa wazima wa afya na wenye nguvu, picha ya pili wakirudi vitani wengine ni vilema na wengine ni wafu kwenye majeneza!
Halafu vyeo wamepandishwa wakubwa wasiokwenda vitani!
 
It ain't no easy task in the battlefield. Imagine advancing towards enemy fire while seeing your fellow comrades getting shot but still u got 2 move on. The sacrifices they make for their nation, the commitment to protect the nation from the enemies both internal and external, the 'brotherhood' bond formed by these brothers.... Now that's why they are unique. There is no job like getting paid 2 get killed. I salute u all comrades over there who make sure our nation stays in peace and harmony
 
1.I do not mean to be rude,but UKUTA is less concerned.


That makes sense, only if, the bulldozer driver would plow the UKUTA and drive off uninjured.

Otherwise the driver would be the most concerned...
 
Back
Top Bottom