Nipe mkono...

Ok waligombana ngumi? ama nirudi YouTube nicheki alivokua anahojiwa naona ni nipe mkono hata istagram sijaelewa [emoji23]
Harmonize anadai Diamond Platnumz alimfuata nakumwambia ,"huniwezi kipesa, huniwezi kiserikali, huniwezi kiuchawi. Kama unabisha nipe mkono, nipe mkono tushindane"
 
Yaani angemfanyia uchawi?? Kumbe kupeana mikono ni risk sometimes aisee🤔 nimeelewa sasa. Thank you
 
Yeuwii kumbe, kijinini kwetu kusalimiana bila kupeana mikono ni shughuli unaonekana na dhereu sana, ila sasa siku watakuja kuiba nyota kumbe nyota yenyewe ya punda , haina mafanikio watajuta[emoji3]
Hahaha, nyota ya punda inaonekana unabeba sana mizigo. Wengine walikuaga wanatumia kipengele Cha kutakiana amani kanisani kuiba nyota, Bora saivi tuna bow to each other [emoji2][emoji2]
 
Yaani angemfanyia uchawi?? Kumbe kupeana mikono ni risk sometimes aisee🤔 nimeelewa sasa. Thank you
Hiyo imenikumbusha kule kwetu miaka 80 kulikuwa na mfanyabiashara ya kununua na kuuza ng'ombe alikuwa hatoi mkono wake kwa ajili ya kusalimiana. Ukimpelekea mkono wako yeye hatoi mkono wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…