zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Hii unaipata unakaa nayo pale club ya Simba mtaa wa msimbazi ghorofa ya juu - dakika 15 tu Msimbazi Street yote nyeupeeeeeeeee
Inaitwa LMG - Light Mashine Gun. Haina sauti ya kutisha kama SMG ! Katika kikosi inaitwa Silaha ya Msaada.
Hebu fikiria hapo kila ganda ni shs 2,000/- itakuwa zimeteketea shs ngapi !?
uko sawa mkuu
Yanini ukae msimbazi uue wamachinga wasio na hatia??Hii unaipata unakaa nayo pale club ya Simba mtaa wa msimbazi ghorofa ya juu - dakika 15 tu Msimbazi Street yote nyeupeeeeeeeee