......Nipe jina la huo mtutu.....

Angeweza kutujibu John Garang, lakini kishapigwa chepe!
 
Hii unaipata unakaa nayo pale club ya Simba mtaa wa msimbazi ghorofa ya juu - dakika 15 tu Msimbazi Street yote nyeupeeeeeeeee

Inaitwa LMG - Light Mashine Gun. Haina sauti ya kutisha kama SMG ! Katika kikosi inaitwa Silaha ya Msaada.
Hebu fikiria hapo kila ganda ni shs 2,000/- itakuwa zimeteketea shs ngapi !?
 
uko sawa mkuu

Kabisa... wana JF wengi hawajapitia JKT thats why haijui.... LMG kaka hiyo uko sahihi kabisa ndani ya dakika moja inatema risasi 600 ina sauti ya kutisha kuliko SMG ukiisikia hiyo inaunguruma hutataka vita kabisaaa...
 
uliza waliopitia operation mkapa na utandawazi.watakupa jibu sahihi
 
Hii unaipata unakaa nayo pale club ya Simba mtaa wa msimbazi ghorofa ya juu - dakika 15 tu Msimbazi Street yote nyeupeeeeeeeee
Yanini ukae msimbazi uue wamachinga wasio na hatia??
Hii mahali pake ni BUNGENI!!!
Kuna Wa$Henx¥ wengi sana pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…