Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,079
- 1,567
Habari wakuu.
Kweli tunapambana wala hatukati tamaa ya Maisha sababu tayari familia tumeanzisha.
UBER/BOLT
Kama unagari yako namba( E) ambayo huifanyii matumizi yako binafsi mara Kwa mara basi naomba nipe mkataba wa miaka MIWILI kila wiki nikuwekee 150000 (Laki moja na Hamsini) basi naomba tufanye Kazi.
Gari ziwe kati ya moja wapo hapa.
Toyota IST cc 1290
Toyota Vits piston 4 kuanzia iwe new model.
Sikutaka kuweka vigezo vya Gari mpya sababu wengi wetu kununua Gari mpya sababu ya Uber/bolt ni ngumu Sana. Lakini Gari kuanzia namba E wengi wenu mnazo.
Kigezo iwe namba E ili nikimaliza mkataba na Wewe boss wangu basi kidogo Gari iwe na Hali nzuri.
Nipigie simu 0754693556
Mauza uza Tu.
Bila Shaka Chombo cha mkataba unakiona ni kisafi kuliko Kile cha hesabu ya kila siku.Ndiyo uhalisia mkuu. Nionyeshe dereva mmoja aliyetunza gari ya mtu.
View attachment 3448046
Ni taxi, Lori, semi au bus?!
Huyo ndiye dereva mtanzania kwenye ubora wake.
Au nasema uongo?
Ndio mana nataka hapo kwenye namba E mkuu Mzee wanguMil 15 kwa miaka miwili sio mbaya.
Ndio mana nataka hapo kwenye namba E mkuu Mzee wangu
Mkuu achana na hizi picha cha AjaliKuna kingine hapa T EMK 667:
View attachment 3448183
Kimetulia au vipi?
Ninakazia dereva wa bongo aja mikono nyuma!
ist milion 10 ikiwa Kwa mtumiaji lakini ikiwa Kwa mpambanaji inaanza milion 13 Sababu atakuwa amerekebisha Gari.Gari no E bei yake ipoje?
Kama unayo mkuu tufanye Kazi.Gari no E bei yake ipoje?
Bado sjapata hata simu moja ya mwaswal wakuu
Mzee wangu mbona kama unaleta vijembe?Kwa mwendo huu:
Tunduma: Watu watano wafariki katika ajali baada ya Hiace ya abiria kuangukiwa na Lori, leo Agosti 27, 2025
Wabongo mtasubiri sana!
Unataka niwe na pua ndogo dada anguPua za mleta mada hizi π½π½π½
π«‘