Hakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.
Na zipo machine nyingi tu used i3 gen ya 6/7 kwa around laki 4, simple google search utaziona.
Core i3 ama Ryzen 3 online as cheap as $250, plus usafiri unapata vizuri tu kwa laki 8, na hata hapa Tanzania if you look carefull unapata simple search i3 10100u ideapad 3 nimeiona capricon 900,000 na hao capricon wanauza vitu bei ghali. i3 ambazo kidogo bei zake zinakua juu ni gen ya 10 icelake na 11 tigerlake ila hizi zinazoishiwa na U kuanzia Gen ya 10 kushuka ukipigwa milioni imekula kwako hazina thamani hio.