Nipe dondoo kuhusu laptop

Nipe dondoo kuhusu laptop

Mkuu Generation ya 7 nani akuuzie laki 4? Labda kama anauza nae hajui machine! Generation ya 3,4,5 kwa laki 4 fresh unapata core i3 au core i5!

Core i3 kwa laki 8 dukani haiwezi kuwa mpya full box ata siku moja! Iwe 8 Gen au 9 au 10 au 11 Generation hupati! Zile Intel ndo utapata kwa laki 8 mpya ila core i3 full box au core i5 lazima itafika milion na kitu itategemea na Generation tu.

Hizo za laki 8 dukani ni Refurbished au used za mtaani wale nao wanazuweka vzr na wanauza ata laki 9
Hakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.

Na zipo machine nyingi tu used i3 gen ya 6/7 kwa around laki 4, simple google search utaziona.

Core i3 ama Ryzen 3 online as cheap as $250, plus usafiri unapata vizuri tu kwa laki 8, na hata hapa Tanzania if you look carefull unapata simple search i3 10100u ideapad 3 nimeiona capricon 900,000 na hao capricon wanauza vitu bei ghali. i3 ambazo kidogo bei zake zinakua juu ni gen ya 10 icelake na 11 tigerlake ila hizi zinazoishiwa na U kuanzia Gen ya 10 kushuka ukipigwa milioni imekula kwako hazina thamani hio.
 
NAWASHUKURU WOTE MLIOTOA DONDOO ZENU, HAKIKA NIMEPATA MWANGA WA KUTOSHA
 
Hakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.

Na zipo machine nyingi tu used i3 gen ya 6/7 kwa around laki 4, simple google search utaziona.

Core i3 ama Ryzen 3 online as cheap as $250, plus usafiri unapata vizuri tu kwa laki 8, na hata hapa Tanzania if you look carefull unapata simple search i3 10100u ideapad 3 nimeiona capricon 900,000 na hao capricon wanauza vitu bei ghali. i3 ambazo kidogo bei zake zinakua juu ni gen ya 10 icelake na 11 tigerlake ila hizi zinazoishiwa na U kuanzia Gen ya 10 kushuka ukipigwa milioni imekula kwako hazina thamani hio.
Alicho ongea huyo jamaa hapo ndiyo ukweli
Laptop g7 na kuendelea core i3 ni milion
Intel inside ndiyo zinaanzia laki7
Chin ya hapo ni laptop za zamani

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile ap
Pentium gen ya 12 ina nguvu kushinda machine yoyote mainstream g7, kununua G7 kwa milioni ni unapigwa vibaya mno, even gen ya 8, 9 na 10 cofee lake inapitwa na pentium mpya.

Na laptop za i3 chini ya milioni zipo, wadau kibao humu wamenunua na watu nimewaelekeza even gen 10 ice lake kuna mtu alikua anaziuza 900,000

Capricon wanauza pc bei ghali sana na unapata 900,000 i3 8th gen ukizunguka mtaani unapata rahisi zaidi.

Na hata ukikosa Amazon ama Ebay si mbali laptop ya $199 ama $250 pamoja na usafiri na kodi haifiki milioni.
 
Msaada mtu anipe properties ya hii machine,
Generation ya ngap?
Kama kuuza fair price ni bei gani?
Coz nililetewa tu kutoka UK

Reason ya kuuza
Ninazo mbili, hii nataka kusukuma
IMG_20220915_144501_726.jpg
 
Mkuu Generation ya 7 nani akuuzie laki 4? Labda kama anauza nae hajui machine! Generation ya 3,4,5 kwa laki 4 fresh unapata core i3 au core i5!

Core i3 kwa laki 8 dukani haiwezi kuwa mpya full box ata siku moja! Iwe 8 Gen au 9 au 10 au 11 Generation hupati! Zile Intel ndo utapata kwa laki 8 mpya ila core i3 full box au core i5 lazima itafika milion na kitu itategemea na Generation tu.

Hizo za laki 8 dukani ni Refurbished au used za mtaani wale nao wanazuweka vzr na wanauza ata laki 9
2019 nilinunua lenovo 8th gen 1M, brand new.
 
Hakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.

Na zipo machine nyingi tu used i3 gen ya 6/7 kwa around laki 4, simple google search utaziona.

Core i3 ama Ryzen 3 online as cheap as $250, plus usafiri unapata vizuri tu kwa laki 8, na hata hapa Tanzania if you look carefull unapata simple search i3 10100u ideapad 3 nimeiona capricon 900,000 na hao capricon wanauza vitu bei ghali. i3 ambazo kidogo bei zake zinakua juu ni gen ya 10 icelake na 11 tigerlake ila hizi zinazoishiwa na U kuanzia Gen ya 10 kushuka ukipigwa milioni imekula kwako hazina thamani hio.
Mimi ni nani nimbishie Chief! Sawa Chief nimekubali maelezo yake
 
Huyo jamaa mbishi sana
Afu ni wale watu ambao wanajifany wachambuz wa mtandaoni
Ukienda dukani ndiyo utajua bei ya laptip 7th g and above

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Mkuu nilitengeneza ule uzi wa muongozo wa kuchagua processor sababu hii.

7th gen imepitwa na wakati, ukikaa ukikariri i5 sijui i7 inakula kwako hii perfomance ya i5 na i7 7th gen compare na pentium mpya

jina la cpusingle core perfomancemulti core perfomance
i5 7200u17663393
i7 7500u19403668
pentium 750522905281
pentium 850527926670

hivyo unaona pentium za 11 na 12th generation si tu kwamba zina nguvu bali ni almost unapata perfomance mara 2 ya 7th gen.

hebu niambie mkuu why utoe milioni yako ununue 7th gen?

na mdau wa juu hapo kakwambia katoa 1m kununua 8th gen mwaka 2019, 8th gen imetoka mwaka 2017 ina maana within 2 years imetoka amenunua yeye, wewe leo hii utoe 1m kununua kitu cha miaka 6 iliopita unaona ni sawa?
 
Kwa laki 3 mpaka 4 huwezi ukapata mpya yenye decent specifications utapata za kawaida tu zenye processor za celeron nzito sana ni nzuri kwa matumizi ya kawaida tu kama kusomea. zaidi ya hapo labda ununue used kwa mtu.

Laptop safi mpya mid-range ni kuanzia laki 8 na kuendelea, yangu ni Intel Core i5 -5th generation, 2.30 to 2.90 GHz kwa 850k plus AMD dedicated GPU 1gb.

Ila bado itategemea na matumizi yako.
 
Kwa bajeti ya shilingi laki 3 mpaka laki 4 ninaweza kupata laptop aina gani dukani?
Njoo nikuuzie dell kwa laki 4, ina miezi miwili nilinunua laki 6...ina ram 8 core 5...
Kama uko serious nipm tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom