NIPASHE Wamshukia mbunge Madabida (CCM)

Hata mwizi kuna wakati unafika inabidi ajisalimishe mwenyewe; ndio kama hivyo, wanaendelea kujianika hewani bila kujijua na kama ni kizizi basi ndio imesha expire ndio maana yake.
 
Kwamba huyun fisadi aliyenufaika kwa kuwauzia ARV fake watanzania anaweza kusimama mbele ya bunge na kujaribu kujisafisha kwa kashfa ambazo amezitaka mwenyewe.

Hata kama nipashe wasingetoa ufafanuzi wa suala hili lakini watanzania wanafahamu kwamba kiwanda chao cha TPI kimefungwa kwa sababu ya kutengeneza ARV fake na pia wamefunguliwa mashtaka ya kuhifadhi/kutumia sukari mbovu kwa ajili ya kutengenezea madawa kinyume na sheria.


USIHUKUMU, UTAHUKUMIWA >>>Govt clears Arusha firm in ARVs scam - National - thecitizen.co.tz
 
Back
Top Bottom