Mkuu mchezo huu ninaujuwa na tena ninao kwenye Computer yangu angalia videohii hapa
Hakuna funguo yoyote/wowote hapa.......
Nisaidie hii kitu km unayo full vision free, nimecheza mpaka stage ya tatu tu ya nne nimeambiwa nifanye payment, usawa wenyewe huu ndg si unajua tena
Mkuu mimi ninayo Full Vision lakini sipo nchini Tanzania.Mkuu hii game naweza kupata full vision Bila kulipia?
Kama unayo full vision nisaidie mkuu
Sawa mkuu hakuna namna ya kunielekeza Labda ni download without payment ?Mkuu mimi ninayo Full Vision lakini sipo nchini Tanzania.
Nimejaribu kutafuta online Fuul Vision ya Game hii Mysteryville sijapata Mkuu.Nimejaribu kuya kopi Ma File ya kwangu ya hiyo Game nimekuwekea hapa jaribu ku dowload wewe kuyachukuwa kisha uyafunguwe yawe pamoja kwa kufunguwa tumia WinRar kama huna Dowload bonyeza hapa.WinRAR archiver, a powerful tool to process RAR and ZIP filesSawa mkuu hakuna namna ya kunielekeza Labda ni download without payment ?