Nilikuwa nafatilia taarifa ya habari ya TBC 1 jana usiku, kati ya habari zilizonivutia ni ya serikali kupitia upya mkataba wa kampuni ya Startimes kutokana na malalamiko ya wafanyakazi kunyanyaswa na uongozi!
Kilinisikitisha ni pale TBC 1 waliporusha hewani sehemu ya mazungumzo ya naibu waziri Amos Makala na uongozi kwa lugha ya kiingereza.. Aisee TBC wasingefanya hvyo,,, jamaa anauliza sensitive ishu kwenye uongozi huku anacheka cheka.. Ni ishu ya michango ya NSSF za wafanyakazi kama inapelekwa kwenye shirika hilo la hifadhi ya jamii, mbaya zaidi kiingereza kibovu, mpaka yule aliyekuwa anaulizwa akaanza kutabasamu huku yeye akionekana na confidence kuliko waziri.. Wat a shame!
Waziri anauliza a.a.a.a zeee zeee nssf contribution.. Are u... Are u.. Kabla hajamaliza yule dada wa kichina kashajibu.. Anawauliza tena do u have a licence wanasema yes we have..
Yaani very shallow s questions.. Yaani anauliza huku akitegemea majibu ya Yes.. He was not technical at all, rather than more friendly to the people alleged to violent and ignore tzs employees welfare.. Not him to be harsh but at least technical, as he was covered by the media.. Shallow English, TBC 1 shuldnt aired it!
Mbumbumbu intelligent.