Fisadi mkuu alisharudi kwny chama chake cha zamani na Mwenyekiti wa Chama akampokea huku akamsifia akisema huyu mzee wa watu ni mstaarabu sana sana na hata wkt wa Kampeni hakuwahi kunitukana.BADO NAULIZA HIVI ILE MAHAKAMA YA MAFISADI HAIJAANZA KAZI RASMI?
Awamu hii ndio pesa imechotwa kuliko awamu zote, ndio maana wanatumia nguvu nyingi kufunikaWatu tuliishi kwenye maisha yasiyokuwa na uhalisia. Mkwere aliwalambisha asali sahv haipo mnalialia tu. Hebu fikiria watu walivyokuwa wanajichotea pesa za serekali na kufanya maisha yaonekane mepesi kwa watu sahivi mirija ya kijinga imebanwa mnalialia mtandaoni. Ht viwanja ilifikia hatua kwasababu watu wanajiokotea pesa kiholela wananunua hata viwanja mia moja kwa bei kubwa Sasa hapo mnyonge angewezaje hayo maisha. Sasa hv ht heka moja unaipata kwa milioni tatu ndani ya manispaa
Nyie chadema mnaongozwa na viongozi vilaza sana ndio tatzo. Mahakama ya mafisadi ya nn wakati mafisadi mlishawasafisha jukwaani. Haiwezekani mumtaje mtu ni fisadi kwa zaidi ya miaka kumi alafu kakatwa kwenye chama cha ccm eti nyie mnamuokota na kumsafisha tena na kumpa nafasi ya kugombea uongozi😂😂😂bure kabisa nyie. Inamaana hamna hata mikakati ya kuandaa viongozi wenuBADO NAULIZA HIVI ILE MAHAKAMA YA MAFISADI HAIJAANZA KAZI RASMI?
Sikia nikweli uyasemayo ila angalia kwa mapana hathari ya kiuchumi kwa wale sio mafisadi pili lipo kundiktk utawala wake wanakula nchi nani asie juwa? Sasa kama mafisad wapo wapelekwe mahakama ya mafisadi ambayo kwa miaka mitano Sina uhakika imefanya kazi.Watu tuliishi kwenye maisha yasiyokuwa na uhalisia. Mkwere aliwalambisha asali sahv haipo mnalialia tu. Hebu fikiria watu walivyokuwa wanajichotea pesa za serekali na kufanya maisha yaonekane mepesi kwa watu sahivi mirija ya kijinga imebanwa mnalialia mtandaoni. Ht viwanja ilifikia hatua kwasababu watu wanajiokotea pesa kiholela wananunua hata viwanja mia moja kwa bei kubwa Sasa hapo mnyonge angewezaje hayo maisha. Sasa hv ht heka moja unaipata kwa milioni tatu ndani ya manispaa
Wanajiongezeaga wenyewe tu mzee baba.Tumeshajua kabisa kuwa ni muongeza umasikini, sasa kwa nini tena tumuongezee miaka mingine mitano?!
No! Mamlaka ya kumweka Rais madarakani yapo kwa raia na wala siyo mtu mwingine yeyote yuleWanajiongezeaga wenyewe tu mzee baba.
Hio iko kwny maandishi tu,ikija kwny utekelezaji ni UPS&DOWNNo! Mamlaka ya kumweka Rais madarakani yapo kwa raia na wala siyo mtu mwingine yeyote yule
We have moved from easy money.... To hard earned money by working..... There is no longo longo as it used to be..... So suck it!!Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.
Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.
Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.
Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.
Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.
Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikin kama sera hizi hazito angaliwa upya
Usichokijua ni kwamba haki huwa haitolewi bure bali unapaswa kuichukua kwa nguvu!Hio iko kwny maandishi tu,ikija kwny utekelezaji ni UPS&DOWN
Hukuwahi kusikia kale ka msemo ka yaani nikuteue mimi,nikupe mshahara,nikulipe posho ya gari na bado umtanganze mpinzani ameshinda hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Wkt tumeambiwa serikali yake ina hela nyingi sana.Wastaafu hawalipwi mafao yao.
Wafanyakazi hawaongezwi mishahara/kupandishwa madaraja.
Uwepo wa miradi mingi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi.
Wengi kufunga biashara zao kwasababu wateja hawana pesa mifukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app