Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,608
- 128,452
Ndiyo maana nikasema wahalifu wote wako cdm na hasa majambazi wamekingiwa kifua kwa kugeuzwa kuwa walinzi wa viongozi wakiguswa wanakimbilia siasa km mbowe anakimbilia siasa kwa masuala yake binafsi
Sheria ziko wazi, toka lini chama cha siasa kikawa kinga ya muhalifu? Mahakama mnayo nyie, vyombo vya dola mnavyo nyie chukueni hatua za dhahiri na sio kuangalia sheria zitumike kwa nani. Ni aibu kama serekali iliyo makini itajifanya inashindwa kuchukua hatua kisa mtu ni mwanasiasa. Ila kinachoendelea hapa ni kwamba kwenye sheria hizo dhamira zinawasuta kisa inafahamika dhahiri shahiri walioliharibu taifa letu ni toka chama gani. Chukueni hatua kwa haki kama hutaona magereza zikifurika wanaccm.