Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,497
Kweli vichwa zaidi ya 27 vimeshindwa kutambua umuhimu wa urusi kujilinda na kuamua kuungana dhidi yake?
yaani walitaka akaushe tu,anaona mnamsogelea mnasogeza na nuclear mpakani kwake awaangalie tu. Wapuuzi sana hawa wazungu.
yaani wameamua kuleta ugumu wa maisha na kuleta mfumuko wa bei kwa raia wao kwa sababu zilizo wazi kabisa?
hawa ukraine walishindwa vipi kuwa neutral hasa ukizingatia eneo lao lilivyo kijiografia pamoja na urusi ambao anajua kuwa ni hasimu wa marekani?
yaani hata ujerumani wamesitisha mradi wake kwa manufaa ya raia wake kwa sababu za kijinga hivi? Hivi tukisema hawa jamaa wanatawaliwa na marekani licha ya ukubwa wao tutakuwa tunakosea?
usa anawa colonize hawa jamaa sio bure na hii vita ipo kwa maslahi yake.
hata ukiangalia hii vita main player ni u.s na anawatumia hawa ulaya kutimiza mambo yake.
ukiweka utim pembeni, hivi mtu na akili timamu unaweza kutafakari na kuona urusi ana kosa hapa? Kweli?
nimeamini hata ulaya kuna ukoloni japo sijajua kwa nini.