Nionavyo CHADEMA hawaitakii mema Tanzania

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
717
Reaction score
459
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633
 
Kwa hiyo CCM ndiyo wanaitakia mema Tanzania ???
Watu ambao wameliingiza taifa kwenye huu uozo wa sasa huwaoni kabisa ???
Watu waliousaliti hili taifa na kuanza kujali matumbo yao huwaoni kabisa ???

NB: Ningekuona wa maana sana kama ungesema Ukweli kwamba wanasiasa ndiyo wametufikisha hapa.
 
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA,,Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani ,,,,,,,,,,,,,,,,napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link : ,,,Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

a297ae42534342fb69aed6c3826d5046.jpg
 
hamna jipya!
Huwezi ona Jipya,,coz you are blinded by belief that b
Kwa hiyo CCM ndiyo wanaitakia mema Tanzania ???
Watu ambao wameliingiza taifa kwenye huu uozo wa sasa huwaoni kabisa ???
Watu waliousaliti hili taifa na kuanza kujali matumbo yao huwaoni kabisa ???

NB: Ningekuona wa maana sana kama ungesema Ukweli kwamba wanasiasa ndiyo wametufikisha hapa.
Walio tuingiza katika matatizo ni watu na sio CCM,wengine walikuwa viongozi wakubwa kabisa mko nao huko sasa
 
CCM NDO IMEIINGIZA NCHI MATATIZON NA IMEOZA SASA MKIAMBIWA MNARARUA WATU JITAZAME UNACHOSEMA MSIFANYE KUWAONA WATANZANIA NI WAJINGA YOU ARE VERY LATE
Walio ingiza taifa katika matatizo ni watu,sio CCM baadhi yao walikuwa viongozi wakubwa kabisa sasa hivi mko nao huko,,,CCM iliyopo madarakani ni mpya chini ya jemedari mahiri JPM
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA,,Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani ,,,,,,,,,,,,,,,,napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link : ,,,Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Unataka upigiwe simu upate uwaziri eee!!akili za maskin bwana.
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Kijana ushaanza tena kuwashwa zile sehemu zako nini mbona unaanza tena kulopoka hovyo sema nije nikukune basi
 
Back
Top Bottom