kumbe unaweza kumbadilishe mwanaume!!
Nakubali kuwa ukimshamzoesha huyo mwanaume lifestyle fulani usitegemee atabadilika. Kwahiyo kama unasema ni kosa lake mleta mada kuwa hasaidiwi na mwanaune wake sawa.
Lakini ni kosa si la kimaadili tu hata kisheria mwanaume kutohudumia watoto.
Lakini maneno ya kuwa ni nature ya mwanaume kuwa mbinafsi na kutomjali mwanamke wake na kumfananisha na majogoo yatapingwa.
Mandhari imebadilika. Iite kibarbarita lakini ukubali mambo yamebadilika. Na kuhusu wanaume kulea watoto, yamebadilika for the best.
Izo sheria zenu nyingii na kuanza kutaka zi apply kwenye maisha ya ndoa ndo zinazo waponza
uliza kwa wazazi wako, zipo approach za kutumia na ndo mana nikamwambia aache kulia lia atumie silaha za kike kama hazijui aje nimhabarishe
haya ya kusema mnataka mashindano mtaish miaka 900 mitaka ayo mabadiliko na hamtayapata
wote walioyoyataka wamekuwa loosers na tunawajua hata ka majina
sometimes ukimya ni jibu pia.
Kama umemsoma bi dada vzr mdomo wake ndo unao mpa nafasi ya kuchezea kipigo
i agree with the method used to deal with stubborn people. mara nyingi ni bora kunyamaza tu.
lakini hujaongelea swala la yeye kuhuhudumia watoto pekeyake ambalo ndo tatizo kubwa
pia tunajua hata kwa majina watu waliocha kufuata njia za kitamaduni ambazo ni kandamizi na wala hazionyeshi mapenzi kwa mwanamke. wapo wanaume kama BAK wanaostaajabishwa na mwanaume mwenzao kuacha mtoto analia masaa mawili hata haamki. na makofi juu kisa kaulizwa kwanini haamki.
njia za kitamaduni zote ni kumsaidia mwanaume tu awe comfortable maishani na aonyeshwe mapenzi yote kwa expense ya maumivu ya mwanamke.
ni juu ya mwanamke kuamua kama anaweza kuishi maisha hayo. au atafute mume mwenye mtazamo sawa na wake. WAKO WENGI. Hata hao "baba zetu".
mleta mada aamue cha kufanya, akitilia akilini ukorofi wa mume wake na hali ya kutokuwa na mapenzi humo ndani.
izo sheria zenu nyingii na kuanza kutaka zi apply kwenye maisha ya ndoa ndo zinazo waponza
uliza kwa wazazi wako, zipo approach za kutumia na ndo mana nikamwambia aache kulia lia atumie silaha za kike kama hazijui aje nimhabarishe
haya ya kusema mnataka mashindano mtaish miaka 900 mitaka ayo mabadiliko na hamtayapata
wote walioyoyataka wamekuwa loosers na tunawajua hata ka majina
sometimes ukimya ni jibu pia.
Kama umemsoma bi dada vzr mdomo wake ndo unao mpa nafasi ya kuchezea kipigo
pia tunajua hata kwa majina watu waliocha kufuata njia za kitamaduni ambazo ni kandamizi na wala hazionyeshi mapenzi kwa mwanamke. wapo wanaume kama BAK wanaostaajabishwa na mwanaume mwenzao kuacha mtoto analia masaa mawili hata haamki. na makofi juu kisa kaulizwa kwanini haamki.
njia za kitamaduni zote ni kumsaidia mwanaume tu awe comfortable maishani na aonyeshwe mapenzi yote kwa expense ya maumivu ya mwanamke.
ni juu ya mwanamke kuamua kama anaweza kuishi maisha hayo. au atafute mume mwenye mtazamo sawa na wake. WAKO WENGI. Hata hao "baba zetu".
mleta mada aamue cha kufanya, akitilia akilini ukorofi wa mume wake na hali ya kutokuwa na mapenzi humo ndani.
kumbe unaweza kumbadilishe mwanaume!!
nakubali kuwa ukimshamzoesha huyo mwanaume lifestyle fulani usitegemee atabadilika. kwahiyo kama unasema ni kosa lake mleta mada kuwa hasaidiwi na mwanaune wake sawa.
LAKINI ni kosa si la kimaadili tu hata kisheria mwanaume kutohudumia watoto.
lakini maneno ya kuwa ni nature ya mwanaume kuwa mbinafsi na kutomjali mwanamke wake na kumfananisha na majogoo yatapingwa.
mandhari imebadilika. iite kibarbarita lakini ukubali mambo yamebadilika. na kuhusu wanaume kulea watoto, yamebadilika for the best.
Kamwe siwezi kuona mtoto analia masaa mawili nami nisitoe ushirikiano katika kujaribu kumbembeleza mtoto. Halafu lijanaume pumbavu on top of that mkewe kachanganyikiwa kwa mtoto kulia masaa mawili badala ya kumsaidia mkewe linaenda kumzaba vibao eti kwa kuulizwa tu mbona hujali mtoto kulia masaa yote haya? Si kila mwanaume anastahili kuwa mume/baba. Mianaume mingine ndivyo ilivyo!!!
Tv soaps of western culture is a disaster to our society here in our region. Feminism is the ultamate enemy of many marriages and house holds. For example 80% of American marriages are in tatters and shambles due to extra marrital affairs. Almost 50% of married couples in USA are having divorce cases in family courts. Kuwiga culture and tabia sio zetu not good for us and for our society.
Kazi ipo hapa
indeed he is obliged and accountable to take care of his family in a whole. However, since she did a wrong start during the early days unfortunately this is difficult to fix in a day or a short period.
May be she did allow it for the sake of love and being too kind. The guy could be a self centered or maybe taking advantage of an easy way and that is too bad and might be very hard to change him.
But i am sure slowly slowly and with the tools she has (as advised by gfsonwin) she can make it work.
May be she try to use the ultimate weapon as ff has pointed out earlier.