Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Hi all,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.
Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.
Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.
Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.
Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.
Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.
Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X
NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.
Nishaurini mwenzenu nifanyeje.
Samahani kwa habari ndefu.
Wasalaam
Nyakwaratony!
----y......you.
afu nisikie ooh wanaume waoaji wachache duniani......lol
huyo mr x alishakutamkia anakupenda au hata kuonyesha dalili? (hapa nahitaji ufafanuzi),isije kuwa unakalia kuti kavu ukidhani umekalia gogo mwenzangu
Ndiyo maana nikaomba ushauri dada mbona unakuwa mkali.
Ndiyo Mr. X alishanitamkia na anapenda sana kuongelea future zaidi.
mbona sio ukali,ila mie ningeenda napopendwa:target:
Naongea na mwenye m.bwa sio m.bwa.
Halafu inaonyesha japo hao wote hujawaonjesha papuchi, lakini yupo anayemiliki papuchi ila ni play bwoy.
Yaonyesha unahaja ya kuolewa, tazama, ndoa yahitaji zaidi msaada wa Mungu na sio matamanio. Maana huyo umpendae, ameshakutamkia juu ya ndoa au ndio maradhi yako yamegota kwake?
Bado hujatulia, bado hujawa na maamuzi ya utayari wa kuhimili mikiki ya ndoa.
Ila, wasubiri wataalam wanakuja na majibu muafaka na uyapendayo/uyategemeayo.
Mh, ni ngumu aisee. Yaani uolewe na mtu usiyemfeel hata ukucha?
ww ndio unawajua zaidi sisi tunakushauri ktk hali ya kufikirika tu kwa sababu hatuwajui hao watu wake,ila huyo wa mkoani sikushauri sana maana hujui na hutapata uhakika wa mambo yake anayoyafanya akiwa huko usije kuingia mkenge kwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia,mtu uliye nae karibu una nafasi ya kumchunguza zaidi na kujua maisha yake ya ndani nje kuliko huyo wa mbali.Conclusion fimbo ya mbali haiuwi nyote uamzi uko mikononi mwako.
una maana gani mlokole?
Naongea na mwenye m.bwa sio m.bwa.
Okay!!!!!!!!!!!!!!
There are 2 options
1. BE COURAGEOUS, UNSELFISH AND DO WHAT YOU ARE SUPPOSED TO DO! Marry the X guy, learn to love him while you make him ya slave, he will worship you and kiss the ground you work on, sweep the ocean for you and live like queen for rest of ya life. Not so quick there is a price to pay! The price is never enjoyin the SEX and always brag abt fake orgasam! SAAAAAAAAAD!!!!!!!!!! But cheer up X is workin and you will cruising around the city, shop in expensive areas you know what im sayin? Who cares abt the stupid orgasm while you roll on a BMW X6!!!!!!!!! I dont care!
2. BE BRAVE, HONORABLE,STUPID, CHILDISH AND VERY NAIVE to believe on a HAPPLY EVER AFTER!!!!!!!!!!! and DO WHAT YOUR SORRY A.S.S WANTS TO DO Marry the Y guy, and keep waiting, prayin and expectin a happily ever after for the rest of ya miserable life, only to discover ITS A MYTH!!!!!!!!! Fact is and always has been that despite their difference in Di.ck sizes all men are the SAME! Mind you Marriage is the BEGINNING!!!!!!!!!!! Not so quick there is a reward for your honor and bravery to ignore and foregore THE BMW ET AL! The reward will be enjoyin the Sex to the fullest and being a very happy being who is ofcourse broke!
Pardon the my language which is too direct but THATS THAT!!!!!!!!