Ndo manake boss
kipenga kimelia, vyuma vimekaza mkuuNaam mkuu
Ahsante kwa ushauri, ila nadhani hujui ulichokisema.Tatizo ulifanya sherehe kubwa na ya kifahari sana kuzidi uwezo wako ili kumlizisha mkeo,alafu kingine mkeo anakupelekesha sana mara salon ,mara shoping za nguo,mara beach kwenye hotel za kitalii. We bwana badilika wanawake ni umiza kichwa usipowajulia hasa miaka ya mwanzoni baada ya ndoa.