Nioe yupi kati ya hawa

Mkuu source ya theory hiyo hujaiweka
 
Ni nani kati yao ukikaa nae moyo wako una amani na hata akicheua wakati mnakula unaona ni jambo la kawaida? Huyo ndiyo wa kumuoa.
 
Huyo namba 2 aswaa ndio nakili kumpenda kutoka moyoni ila tatizo ni kama nilivyoelezea hapo sitotaka nifanye maamuzi alafu nije nijutie baadae unajua mapenzi yanauma
 
Kuna mtu aliniambia “if you love her then marry her if you are making a mistake you are not the first one”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…