Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,198
Wakuu ushauri wenu kwa kijana wenu Zero IQ nategemea kufanya mpango mwakani nivute jiko lakini tatizo ni kwamba mpaka sasa sijui nimuoe yupi kati ya hawa?
Niko na mahusiano na wasichana 3 ambao ni serious relation ship na kila mmoja anajua lazima nitamuoa yeye sababu ya yale tunayoyafanya,
Nimekuja kwenu wakuu kupata ushauri nitawaelezea kila mmoja kwa vile ninavyowajua mimi kwa ule muda tulio kwenye mahusiano,
1:Huyu wa kwanza nilikutana nae morogoro nilianza nae mahusiano tangu niko secondary mimi form 3 na yeye form 2
Kabila ni mpogoro ,dini ni muislamu;
Tatizo la huyu demu ni dini mzee wake ni shekhe na kila nikijaribu kumshawishi abadili dini ili nimuoe swala likifika kwa mzee wake ni tatizo wanataka mimi ndio niwe muislamu ili nivute mtoto wao na hilo swala mimi siwezi ila dogo hana tatizo tatizo ni mzee wake,
2: Huyu nilikutana nae wakati niko chuo.
Kabila ni muiraq,dini mkristo,
Huyu demu nilizaa nae mtoto wa kiume tatizo la huyu demu ni kwamba nikiwa nae she is in love with me nitaona mapenzi ya dhati ambayo sijawahi ona,atanicare kwa kila namna lakini akiondoka mawasiliano huwa ni ya kawaida sana na nilishawahi kuja na uzi wake humu baada ya kukuta sms kwenye simu yangu kutoka kwa mwanamke mwingine ndio ameonyesha kubadilika now days ananitafuta kila mara.
3:Huyu nilikutana nae hapo mtaani tunapoishi,
Kabila ni mchaga,dini mkristo,ni mwanamke ambae anaonekana ana vision ya maisha ila tatizo ni kwamba amenipita karibia miaka 5,
Hajawahi nionyesha kiburi au kunikela japo kwenye kucare siyo sana ni mtu anaewaza sana kuhusu future yetu.
Nipo matatani na sijui nioe yupi wakuu kila siku nikiamka naamka na wazo jipya nioe huyu kesho pia nioe huyu nashindwa kuwa na msimamo wa kweli yupi ndio nimuoe.