Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,735
- 7,434
Na hili alitambue kabisaAcha kumdanganya kijana, mwambie tu ukweli kuwa kuna kunyimwa huko huko kwenye ndoa
Na hili alitambue kabisaAcha kumdanganya kijana, mwambie tu ukweli kuwa kuna kunyimwa huko huko kwenye ndoa
Usioe,kwani upo tayari kufiriwa mke?Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Kama hauna hela kunyimwa kuko palepale, hata jogoo anaonga walau punje ya mahindi.Acha kumdanganya kijana, mwambie tu ukweli kuwa kuna kunyimwa huko huko kwenye ndoa
OyeeKataa ndoa
27 mbona bado mtoto jaman, kwenye ndoa kuna mambo mazito, niamini mimi niliyeolewa zaidi ya mara tatu nikaachika sasa wewe na utoto wako huo sijui utaweza mihimili jaman, maana kuna misonyo, kuna kununia, kuna kususiwa style, kuna kunyimwa, kuna kupandishiana kwenye ndoa, kuna kujibiwa vibaya, kuna kutokusikilizwa hata kama una hoja ya msingi ila anasikilizwa mama mkwe, kuna uchawi na ushirikina kuna kuchokana ila ndio hivyo aibu kuacha, kuna kukosa na kupata na je mwenzako atakuelewa, kuna kuchoka kidude kila siku hichohicho, kuna kufuatiliwa kila unalolifanya, kuna kutamani vidude vya nje, kwa hayo machache na mengine mengi nifuate nikueleze,. Ukiweza zaa watoto wako ila uwe na uweza wa kuwalea na uwahudumie wapate kila kitu wanavyostahili na uendelee na maisha. Hakikisha unaweka savings final uzeeni babu weyeWakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
No reform no election ⚒️ 💯Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto