Nioe au nijenge kwanza?!

Bado mkuu sijakaa vizuri kiuchumi bado napambana.
 
Jenga kwanza, utakuja kunishukuru baadae.
 
Sure! hii ni kutokana na Maisha.
Hata mimi ningegundua ningalijenga kwanza.
Nimekuja kujenga nikiwa na familia kwa tabu sana
Daah pole saana,,maana ukiwa kwenye upangaji ukawa na familia hafu kipato ndo hivyo hakika kusave pesa kwaajili ya kujenga kuna ugumu haswaaa.
 
Vyote kwa pamoja, ila kuoa ni muhimu zaidi kuliko kujenga, kwa kuwa nyumba za kupanga zipo.
 
Kabla ya kumvutavmwanamke kuishi nae,jiweke vizuri kwanza.
Jenga jenga mkuu
Sawa mkuu ,,,maana nikijenga kwa wakati huu ni vizuri kabla sijapata majukumu mengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…