Nioe au nijenge kwanza?!

Sasa wewe miaka 27 unakimbilia wapi. Jenga kwanza kama umepata nafasi.
Mda wa kuoa ukifika huta thubutu hata kuomba ushauri.
 
Jenga kwanza usije kuambiwa tulijenga wote tugawane pasu kwa pasu
 
Daaahh hakika hapo nikuongeza majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…