Nioe au nijenge kwanza?!

Daah umenifany nicheke kweeeel yaaan!
 
Aminaaa,,,ntalifanyia kazi mkuu maana kweli ukijenga Uhuru unakuwepo
 
Jenga kwanza Ili mke aje akute una nyumba,mkizinguana anasepa peke yake.Lakini ukisema uoe halafu uje kujenga,mkizinguana atadai mlijenga wote na nyumba ipigwe bei mgawane pesa.Ndio ishu ambayo imenikuta Mimi,inanitesa mbaya sana.
Umenifumbua macho aisee
 
Unaishi peke yako ila unataka kujenga coz unapata uchungu kwa kuona kua kodi unayolipa unamfaidisha mwenye Nyumba tu,

Halafu unatuuliza Ujenge au uoe kwanza? Serious? Kwani ukioa huo uchungu wa kodi unayolipa utaisha?

Jenga kwanza ili umalize uchungu wa kulipa kodi,ama sivyo utajikuta una uchungu wa mambo mawili kwa pamoja,uchungu wa ndoa na uchungu wa kulipa kodi.
 
Sijasoma content.
Ila kwa kutumia title ya bandiko lako, nakushauri Kama unaweza kujenga kwanza fanya hivyo.
 
YANI JENGAA UMALIZEEE MKUUU... ila ubaya siku mkiachana na mkeo kugawana mali ndo rohoo itaumaaa balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…