Ninunue Smart au PS!?

Ninunue Smart au PS!?

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
Wakuu naombeni ushuari wenu,

Nina kiasi kama cha 200k, bado ni mwanafunzi. Sasa naomba mnishauri ninunue Playstation 2 kwa ajili ya biashara au ninunue Smartphone?!
 
wakuu naombeni ushuari wenu,,nina kiasi ka cha 200k bdo ni mwanafunzi.Sasa naomba mnishaur ninunue play station 2 kwa ajili ya biashara au ninunue smart phone?!

Aaah!!yaonesha km unataka 2mia mwenyewe vile iyo ps2!?
 
wakuu naombeni ushuari wenu,,nina kiasi ka cha 200k bdo ni mwanafunzi.Sasa naomba mnishaur ninunue play station 2 kwa ajili ya biashara au ninunue smart phone?!

Hivi huko shule huwa mnafundishwaga ujinga??

Cc: Faizafox
 
huyu naye yuko chuo? daah kazi ipo na hawa wanachuo wa siku hizi.
 
Hivi huko shule huwa mnafundishwaga ujinga??

Cc: Faizafox

jana si wamepewa boom ndo maana............halafu baadae wanalalamika pesa ya kujikimu ndogo, kumbe matumizi yake ndo haya!!!
 
Back
Top Bottom