Asante sana chief. Je simu za 8gb inakuaje inapungua hadi 4gb au300K unapata second hand s5,
kuhusu storage simu zote za 16gb free space inarange 8gb hadi 12gb
kuhusu camera si kweli kwamba zinapoteza quality unatakiwa uangalie na series ya hio simu. mfano j series ya 2016 camera yake haiwezi shinda Note au S series ya 2014 japo ni ya 2016
yapAsante sana chief. Je simu za 8gb inakuaje inapungua hadi 4gb au
Bei gani? ,camera yake ni nzuri kuliko note series na s series?
Duka gani hilo niende mana nliulizia tu j1 ace ni 250,000 sembuse hiyo j5.
Em nambie duka la hiyo price niende.
Kwa 16 gb?,Wewe tecno inakuhusu200k-300k
Chief am sorry nakuuliza tena,kwa hiyo budget yangu ni samsung series ipi ambayo itanifaa kwa camera ikiwa mpya.
I mean kati ya j series,note series,s series etc ni series ipi ambayo camera ni best.
Lete 350k nkupe note 3 black GB 30Nahitaji simu yenye kuanzia 16 gb na yenye camera nzuri yani high quality ya ukweli. Iwe laini mbili lakini sio tecno.
Naombeni mnishauri aina gani ndo itanifaa kutokana na specs zangu hapo. Pia budget yangu iko kawaida(i cant afford iphone wala samsung s5 kuendelea)
Nilitaka kuchukua huaweii y6 pro ila kuna mtu akanambia eti 16gb unaeza ona ni nyingi lakini kati ya hizo either 4gb au 8gb inakua occupied na system ya simu halafu wanakuachia hizo gb chache zilizobaki for your own use.
Samsung nao naona kila wakitoa simu mpya basi camera ya simu za nyuma inapoteza ubora.