ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Natumia infinix S4 ina ram 3gb, storage 32gb, camera ipo safi, nataka kununua simu iwe inazidi sifa hii yangu, nina bajeti ya 400000,au kama kuna mtu anataka exchange sawa ila awe na simu juu hii ntamuongeza na pesa, isiwe iphone,
Nipo dodoma mjini,
Contact:0683357425
Nipo dodoma mjini,
Contact:0683357425