Wakuu kuna mtu kaniomba nimnunulie printer potable ya kusafishia picha kwahiyo naomba ushauri ninunue ya aina gani? Bajeti yangu ni laki nane za kitanzania
L805 Sio multipurpose yaani haina scanner, wala haina USB/SD options. Pia ni ya kitambo kiasi. Lakini tofauti kwenye printing itakuwa tu kwenye speed, L805 itaprint faster kuliko L850

Kwa picha nzuri za Rangi nakubali sana Epson, kuliko HP
Ukikosa Epson tafuta printer za Cannon.
HP ni nzuri sana kwa kazi za kawaida za ofisini ILA kwa picha tu siifaham vizuri